Fundisho La Kanisa Jipya La Kimitume
Kanisa ambalo watu huhisi wako nyumbani na, wakiwa wamevuviwa na Roho
Mtakatifu na upendo wao kwa Mungu, huyafungamanisha maisha yao na injili ya
Yesu Kristo na hivyo wanajiandaa kwa majilio yake na uzima wa milele.